Ni sahihi kwa wapenzi au wanandoa kunyoana mavuzi?

Hii tabia ni mbaya sana. Piga marufuku hii tabia mara moja au vinginevyo piga chini huyo. Nileteeeeeeni wembeeeeeeee.
😜😜😜
 
Huu uzi bila picha haufai
 
Hii tabia ni mbaya sana. Piga marufuku hii tabia mara moja au vinginevyo piga chini huyo. Nileteeeeeeni wembeeeeeeee.
😜😜😜
Peleka wembe mkuu....🤣🤣
 
Reactions: BAK
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu hana ubongo huyu kama anao basi una mushkeli.
Haya ndo madhara ya maisha kuwa magumu mtu anauliza swali kama vile hana ubongo
 
Hi ndio home ya great thinker hi!!!![emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu hana ubongo huyu kama anao basi una mushkeli.
hawa ndo aina ya WATZ wanaochangia CCM kutuona wote ni vichwa panzi.
 
Mahusiano bila mawasiliano ni kama gari bila mafuta haliendi na likienda halifiki mbali.
Semeshaneni kipi upo huru na kipi haupo huru kufanyiwa

Eti tunajadili vuzi la mtu😂😂😂
 
Ni sahihi kabisa, bila kusahau kukatana kucha, kuogeshana, kunyonyana ndimi na kunyanduana.
 
Waulize wenye vibamia,kama watakubali kuangaliwa na wapenzi wao muda wote huku wakiwa wananyolewa.
 
Maskini kijan wa watu umeisha ivo acha mara moja iyo tabia Mungu hapendi, halaf hayo mavuzi yako anayapeleka wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…