Kwa tamaduni hizi za sasa za kimagharibi ,si ajabu ukakuta watu wasiokuwa wapenzi wana hug/busiana hadharani.Je hii ni sahihi kwetu waafrika kufanya haya?
We kinachokudanganya kwamba sio wapenzi mpaka ufikie conclusion ya kwamba sio sahihi kwao kufanya hivyo ni nini haswa?!Ukweli wanaujua wao na sio wewe....hata kama ni watu wako wa karibu!!
Kwa mimi kuna marafiki wachache ambao kama sijawaona long time lazima niwape hug; marrafiki wa kike karibu wote nawapa hug kama sijawaona long; wa kiume ni wachache sana wanapata hiyo bahati. Kissing big No. Naweza kukiss rafiki wa kike tu na ni cheek kiss si french kiss.
It is only my hubb who gets tongue kiss.
Wanangu nawabusu kwenye forehead to show love.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.