Ni sahihi mahakama kutoza gharama za kusaini nyaraka za HESLB?

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
151
Wakati wa kujaza fomu za mikopo ya elimu ya juu(Heslb) kuna kipengele cha kuwekwa sahihi na hakimu/wakili.Na kwenye mahakama zetu walikuwa wakitoza sh.5000/= mpaka 10,000/= ili kuweka sahihi kwenye fomu hizo.Je,una maoni gani kuhusu hili?
 
wajinga ndo waliwao.... walikuona kilaza wakukupiga cha juu.. mi nilimwaga sera mwishowe wakaniambia tungejua ....yani hujatupa hata ela ya vocha...!! but nikajifunza kitu ukiendà ofisi ya mtu usiende kavu kavu
 
Hahahaha daah wewe ni kiboko aisee

Ila mimi hawakuniomba chochote
 
Hahahaha daah wewe ni kiboko aisee

Ila mimi hawakuniomba chochote
kibongobongo ni mwendo wa sera tu ...huwa wanaomba kweli lakn sio lazma io buku5 ya mwenge ni njia zao zakukusanya mchango wa mwenge ili atimize lengo aliopewa na almashaur zao
...
 
Njaa tu zinawasumbua, mi nilienda kupeleka form mahakama ya mwanzo wanisainie hakimu anaangalia kwa huruma ka anataka kuzimia… hata alivyodai 10,000 hata sikubisha.
 
Ni sahihi.

Kila profession ina taratibu na maadili yake katika utekelezaji wa majukumu.

Si kwenye vi-form vya mikopo tu bali hata kwenye tender, hati za viapo, certification n.k

Ukiona unaibiwa basi wasilisha form bila muhuri...au nenda kagongee huo muhuri pale TCU wakuthibitishie kama ni wizi au vipi...Heshimuni na changieni taaluma za wenzenu pia bila kunung'unika.
 
ndugu vp ww ni hakimu nn?
 
Njaa tu zinawasumbua, mi nilienda kupeleka form mahakama ya mwanzo wanisainie hakimu anaangalia kwa huruma ka anataka kuzimia… hata alivyodai 10,000 hata sikubisha.

nakuambia walikuwa wanazigombania kama njugu,halafu nyaraka zenyewe walikuwa hawazisomi wala nn unawapa chao wanaanguka sahihi...tehteh.
 
kibongobongo ni mwendo wa sera tu ...huwa wanaomba kweli lakn sio lazma io buku5 ya mwenge ni njia zao zakukusanya mchango wa mwenge ili atimize lengo aliopewa na almashaur zao
...

na huo mchango wa mwenge ni kwa ajili gani
 
wakikutoza dai risiti halaf uwaripoti tra ka.a haewana EFD. hahahaaaaa

Ukisai risit wanakwambia kila penye mhuri elf 2 wanapiga kuna siku nilienda kufanya certification buguruni ilikua shidaaaaa ikabid niwape buku 5 vinginevyo ilikua inaingia ka elf 50 hv ka ningepewa risit
 
hahaha.. Ni bora uwape hiyo 5000 au 10,000 tu ujue moja..

Kuliko kupigwa kalenda(njoo kesho, njoo keshokutwa) mwisho wa siku hizo gharama za nauli zitazidi hata hiyo 5000..
 
Back
Top Bottom