Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
Wakati wa kujaza fomu za mikopo ya elimu ya juu(Heslb) kuna kipengele cha kuwekwa sahihi na hakimu/wakili.Na kwenye mahakama zetu walikuwa wakitoza sh.5000/= mpaka 10,000/= ili kuweka sahihi kwenye fomu hizo.Je,una maoni gani kuhusu hili?