Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
Wakati wa kujaza fomu za mikopo ya elimu ya juu(Heslb) kuna kipengele cha kuwekwa sahihi na hakimu/wakili.Na kwenye mahakama zetu walikuwa wakitoza sh.5000/= mpaka 10,000/= ili kuweka sahihi kwenye fomu hizo.Je,una maoni gani kuhusu hili?
wajinga ndo waliwao.... walikuona kilaza wakukupiga cha juu.. mi nilimwaga sera mwishowe wakaniambia tungejua ....yani hujatupa hata ela ya vocha...!! but nikajifunza kitu ukiendà ofisi ya mtu usiende kavu kavu
kibongobongo ni mwendo wa sera tu ...huwa wanaomba kweli lakn sio lazma io buku5 ya mwenge ni njia zao zakukusanya mchango wa mwenge ili atimize lengo aliopewa na almashaur zaoHahahaha daah wewe ni kiboko aisee
Ila mimi hawakuniomba chochote
Ni sahihi.
Kila profession ina taratibu na maadili yake katika utekelezaji wa majukumu.
Si kwenye vi-form vya mikopo tu bali hata kwenye tender, hati za viapo, certification n.k
Ukiona unaibiwa basi wasilisha form bila muhuri...au nenda kagongee huo muhuri pale TCU wakuthibitishie kama ni wizi au vipi...Heshimuni na changieni taaluma za wenzenu pia bila kunung'unika.
Njaa tu zinawasumbua, mi nilienda kupeleka form mahakama ya mwanzo wanisainie hakimu anaangalia kwa huruma ka anataka kuzimia hata alivyodai 10,000 hata sikubisha.
wakikutoza dai risiti halaf uwaripoti tra ka.a haewana EFD. hahahaaaaa
Njaa tu zinawasumbua, mi nilienda kupeleka form mahakama ya mwanzo wanisainie hakimu anaangalia kwa huruma ka anataka kuzimia hata alivyodai 10,000 hata sikubisha.
Mimi hawakuni- charge hata cent moja.
kibongobongo ni mwendo wa sera tu ...huwa wanaomba kweli lakn sio lazma io buku5 ya mwenge ni njia zao zakukusanya mchango wa mwenge ili atimize lengo aliopewa na almashaur zao
...
hapana.ndugu vp ww ni hakimu nn?
wakikutoza dai risiti halaf uwaripoti tra ka.a haewana EFD. hahahaaaaa
mbona hamjauliza ulfu hamsini ya kuapply HESLB ni halali?