Ni sahihi mke kutubu kwa mumewe baada ya kuchepuka?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Nawasalimu.

Ama baada ya salamu.

Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha.

Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.

Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili.

Tukio lile lilileta tafarani sana kwa mke mkubwa, ugomvi, matusi, fujo, ngumi n.k.

Pia mwanamke mkubwa alidai talaka lakini jamaa hakukubali kutoa hata kidogo.

Baada ya miezi miwili amani ilirudi na jamaa kuanza kupewa penzi kama kawaida baada ya kunyimwa mda wote huo.

Siku moja akiwa katikati ya tendo, mke aliangusha kilio na kuanza kumueleza mumewe uovu alioufanya wakati mumewe alipooa.

Dada huyo alidai kuwa alichepuka kwasababu ya taharuki ya kuongezewa bimdogo.

Pia alipom bana zaidi alimtaja akiyenyengana naye na mengine mengi.

NB:-
WAMEZAA WATOTO WATATU NA HUYO MKE MKUBWA

Je
Ninini hukumu ya mwanamke huyu?

Je ? Alichofanya ni sahihi???

Maoni tafadhali.
 
hiyo ni exit door ya kitaalamu sana kwa mwanamke anae nyanyasika..

ni sahihi kulingana na mazingira aliyopo, japo ni hatari sana kwa afya na uhai wake,

but huenda alifikia hatua mbaya zaid ya manyanyaso na kukata tamaa na kuamua lolote na liwe 🐒
 
Back
Top Bottom