MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Katiba mpya bora ni muhimu. !! Hapo lazima zipo Contradictions ambazo zinapelekea wengine kuchukua advantage !Wadau nawasabahi.Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza Uamuzi wa Baraza la Madiwani juu ya Mgogoro huo Uamuzi ambao ni KINYUME na HUKUMU ya MAHAKAMA KUU.
JE Sheria inasemaje juu ya Tukio kama hilo?Je Nini kinaweza kufanyika?
Je Baraza la Madiwani lina Uwezo wa Kubatilisha HUKUMU ya MAHAKAMA KUU?
Wadau nawasabahi,
Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza Uamuzi wa Baraza la Madiwani juu ya Mgogoro huo Uamuzi ambao ni KINYUME na HUKUMU ya MAHAKAMA KUU.
Je, Sheria inasemaje juu ya Tukio kama hilo?Je Nini kinaweza kufanyika?
Je, Baraza la Madiwani lina Uwezo wa Kubatilisha HUKUMU ya MAHAKAMA KUU?
Soma vizuri Mgogoro ulianzia Baraza la Ardhi Wilaya likaenda Mahakama Kuu sheria gani haikufuatwa kwa HATUA hiyo?Suala la ardhi linatatuliwa na Mahakama za Ardhi labda aliona huo mgogoro haukufuata taratibu stahiki ndiyo maana akapuuza hiyo hukumu.
Nchi hii haina mahakamaWadau nawasabahi,
Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza Uamuzi wa Baraza la Madiwani juu ya Mgogoro huo Uamuzi ambao ni KINYUME na HUKUMU ya MAHAKAMA KUU.
Je, Sheria inasemaje juu ya Tukio kama hilo?Je Nini kinaweza kufanyika?
Je, Baraza la Madiwani lina Uwezo wa Kubatilisha HUKUMU ya MAHAKAMA KUU?
Upo sahihi mkuuNchi hii haina mahakama
Nchi hii haina bunge
Rais na jamaa zake ndiyo kila kitu
Kwahiyo akapuuza muhimili Au ??!Suala la ardhi linatatuliwa na Mahakama za Ardhi labda aliona huo mgogoro haukufuata taratibu stahiki ndiyo maana akapuuza hiyo hukumu.
Siyo kila hukumu inakuwa sahihi kisheriaKwahiyo akapuuza muhimili Au ??!
Nimesoma vizuri,hukuandika hivyo.Soma vizuri Mgogoro ulianzia Baraza la Ardhi Wilaya likaenda Mahakama Kuu sheria gani haikufuatwa kwa HATUA hiyo?
Ni nani anayeamua kwamba hii hukumu ni sahihi au si sahihi kisheria, ni diwani?Siyo kila hukumu inakuwa sahihi kisheria
Tumia Akili kama sio Sahihi unaisahihishia wapi zaidi ya kukata Rufaa?Siyo kila hukumu inakuwa sahihi kisheria
UPO SAHIHI MKUUNi nani anayeamua kwamba hii hukumu ni sahihi au si sahihi kisheria, ni diwani?
Ndio maana kuna utaratibu kama waona hukumu haiko sawa unaenda ngazi inayofuata hadi ngazi ya mwisho ila si uamuzi wa diwani au mkurugenzi kuamua ipi hukumu sahihi na ipi si sahihi.
Duh 🙄Upo sahihi mkuu
Ilitakiwa hukumu nyingine ya kutengua ya kwanza. !Siyo kila hukumu inakuwa sahihi kisheria
Hivi ni kwa Nini hizi Hukumu za Mahakama Kuu zinakua ngumu sana kuzitekeleza!!?? Yaani kutekeleza hukumu utafanyiwa zengwe hadi unakataa tamaa, Jana nomeona kwenye taarifa ya habari ITV baada ya Mwaka toka Hukumu itokee Jana Mama ndiyo kakabidhiwa eneo lake tena kwa force!!Wadau nawasabahi,
Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza Uamuzi wa Baraza la Madiwani juu ya Mgogoro huo Uamuzi ambao ni KINYUME na HUKUMU ya MAHAKAMA KUU.
Je, Sheria inasemaje juu ya Tukio kama hilo?Je Nini kinaweza kufanyika?
Je, Baraza la Madiwani lina Uwezo wa Kubatilisha HUKUMU ya MAHAKAMA KUU?
Wewe uliyetumia akili eleza iweje afuate uamuzi wa madiwani akadharau hukumu ya mahakama.Tumia Akili kama sio Sahihi unaisahihishia wapi zaidi ya kukata Rufaa?