Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
NooooNaomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NooooNaomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Tumia akili we dogoKwani kuzaa mtoto lazima?
Mfano hata akisema kaolewa lakini hataki mtoto, kwa sababu zake mwenyewe, tatizo liko wapi?
Kwanza kabisa, thibitisha mimi ni dogo.Tumia akili we dogo
hatari sanaMwanamke bikra siku hizi ni yule ambae hana mtoto