Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Umri unavyoongozeka ndio unapata nguvu zaidi za kutunza familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliolewa miaka 50 ndoa ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Hapo uliposema mwenye nia umepotea sana.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Acha kuwapa stress wanawake na kutupa pressure sisi wanaume kuwaoa.
Watu kibao wapo na ndoa bila kwenda bomani, msikitini wala kanisani.
Ndoa ni illusion tu.
 
Duh, nyie mbona hamkutuambia sisi wakati tunaajiriwa, ila siku hizi wanataka cheti cha kuzaliwa wanalinganisha na transcript za Vyuo
 
mwaka juzi nilikuwa bunda mara, nikahudhuria harusi moja pale. walengwa: mwanamke alikuwa na umri wa miaka 45 na hakuwahi kuwa na mtoto na ni mara yake ya kwanza kuolewa
Bwana harusi amenunua gazeti usiku hahahaaaaaa.tusikariri maisha kila mtu amepangiwa riziki kwa namna yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…