Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Inasikitisha sana watoto wamekosa urithi halali wa baba yaoMkuu ndo maana kwenye mali z marehemu wanaoshighulikia ni familia mzima. Ndo maana kunakuwa na kikao cha familia mzima upo apo.
Familia inamchagua mmoja yoyote kuwa ndo msimamizi wa mirathi.
Mimi niliyoyaona ni.
Baada ya Baba mmoja kufaliki na kuacha watoto wakibwa 4 na 3 wanandoa zao kabisa na wamesoma. Huyo baba walikuwa 5 kwao yeye alikuwa ni wa 2 wa kwanza alikuwa ni Mwanamke na aliolewa na mchaga. Ila wao kabila lao ni watu wa mgeta moro.
Baada ya Baba kufa na kuacha Watoto 4 na mke.
Dada yake mkubwa na wadogo zake walienda mahakamani na kudai sehemu ya mali za kaka yao.
Cha ajabu msimamizi wa mirathi wakamchagua mtoto wa kwanza wa Dada yao aliyeolewa na mchaga ndio awe msimamizi wa mirathi watu tulishangaa .
Na kesi ilisikilizwa Safi mahakamani.
Ila ndugu wa baba wanaingia je kwenye mali za ndugu yao wakati kaacha watoto ambapo kimsingi wao ndio wenye haki ya kurithi mali za baba zaoInakuwa kikaocha familia.
Ndo maana kama Baba alikuwa na mtoto wa nje alijitokeza kipindi cha msiba na familia wakampokea kama mtoto wa marehemu hata kama walikuwa hawajui naye anaingizwa kwenye mgao.
Ni familia inaamua hivyo na sio nyie.
Bila kuiondoa CCM utaendelea kuwepoUmasikini ni mbaya sana....
Kwamba ni Mama pekee ndo hujengewa?Ukimjengea kwenye kiwanja cha familia automatically hio itakua mali ya wote kwenye urithi.
ukitaka mali isihesabike kama ya familia ,mjengee bi mkubwa nyumba kwenye kiwanja chenye jina lako alafu muache akae,otherwise ukijenga kwenye kiwanja cha familia ndugu wanaweza kudai endapo siku huyo mzazi asipokuwepo na kisheria mtagawana sababu ipo kwenye kiwanja cha familia na wana hio haki .
Eh Mwenyezi akuongezee baraka zake kwa kutusalimu na kututakia Uzima na Afya, Binafsi nakushukuru, ni mzima.Habarini wakuu. Naimani humu nyote ni wazima wa afya. Nilikuwa naomba msaada ya kisheria.
Je kati ya migogoro hiyo, ninaweza weka huu Mgogoro wa Bandari yetu ya Dar-Es-Salaam? Ni hivi, Bandari yetu Watanganyika ipo kwenye mirathi(our sovereign) na mkataba ulioingiwa unaathiri nguvu zetu za ukubwa wa Nchi.Kuna hili suala la migogoro ya wanafamilia hasa kwenye mirathi ambayo huathiri jamii kwa namna moja ama nyingine na sijui suluhisho ni lipi?
Hakika tupo Mamilioni ya Watanganyika, tupobwengi kweliFamilia nyingi hasa hizi kwenye jamii zetu unakuta ni familia kubwa zenye ndugu wengi. Ni jambo la kawaida kukuta familia moja kuwa na watoto kumi au zaidi.
Bahati mbaya, huyu SSH ndiye mwenye maisha mazuri miongoni mwetu, kwani tumempa madaraka hayoMbali na hayo familia nyingi huwa ni masikini na ni ngumu sana kukuta watoto wengi wa familia moja kuwa na maisha mazuri, unaweza kuta ni mtoto mmoja ama wawili ndio wenye maisha mazuri
Hakika, hatukuwa tunajua kati yetu kuwa yeye alikuwa wa Mama wa kamboNa hili suala la kuwajengea nyumba wazazi kipindi ambacho Mungu amekubariki huwa haliepukiki kwa mtoto mwenye kuwapenda wazazi wake, hii inakuwa kama shukurani kuwapa wazazi na pia kuwapa hifadhi .
Tofauti kidogo, dada yetu huyu ameamua kugawa hati ya nyumba yetu(bandari) kwa Wajomba! Nasi twajiuliza Inakuwaje sasa? Tumfukuze nyumbani kwa kugawia hati ya Nyumba yetu kwa Wajomba?Swali langu linakuja apa, hivi ikitokea mtoto akamjengea nyumba mzazi wake na kwenye hati kuandika jina la mzazi wake, je pindi mzazi anapokufa mali zinarudi kwa mtoto aliyemjengea au zinakuwa za familia na kugawana mirathi??
Titaelewana, shukurani ikufikie. Nimefikisha dukuduku zangu.Natanguliza shukurani wakuu.
Ndo hivyo mimi mwenyewe nashidwa KUELEWA,Ila ndugu wa baba wanaingia je kwenye mali za ndugu yao wakati kaacha watoto ambapo kimsingi wao ndio wenye haki ya kurithi mali za baba zao
Inaniuma sana hili na sijui cha kufanyaulipojenga hiyo nyumba kuwa ni yako au ya wazazi wako? nyumba itahesabika yako pale tu taarifa zote za nyumba zitaonesha majina yako, kama uliwapenda wazazi wako na kuwatengenezea sehemu ya kuishi basi hiyo sehemu ni ya wazazi wako, labda kama uliwahamishia kwako ukawapatia nyumba ya kuishi ndio itahesabika yako..
Katiba mpya na uchaguzi huru bado tunahitaji ili kuiondoa CCM madarakani
Mama mara nyingi huwa ndio anayejengewa nyumba na watoto kuliko baba na hii mindset inatokana na kufikiria kuwa baba alikuwa mzembe mpaka kukosa nyumba ya kuishi akishafikia uzee watoto humtenga baba kwa kusikiliza maneno ya mama yaoKwamba ni Mama pekee ndo hujengewa?
Watoto wa single maza mna mambo ya hovyo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni uroho tu ndio kinachowasumbuwaNdo hivyo mimi mwenyewe nashidwa KUELEWA,
Kiwanja nimeshanunua na nimeandikisha jina la mzazi na nyumba nimeshajenga ila hati ya mauziano lipo jina langu. Hofu yangu ni hawa ndugu zangu nawahofia kuja kuwagawana mali ambayo mimi nimeiyotelea jasho pindi wazazi watakapo fariki.Mnunulie kiwanja chake nje ya viwanja vya familia mjengee ataishi kwa amani ila shida ipo bado ni baba au mama wawatoto fulani so itabaki pale pale ni ya familia wewe mjengee tu aishi vyema usipende kurudishiwa fadhila