EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 3,781 Reaction score 12,091 Jul 30, 2021 #21 Wakiyaweka ghetto kwako ,utawalipa mishahara Chama na Lwanga wewe?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jul 30, 2021 #22 Waswahili mna gubu sana, hayo makombe yamesogezwa hapo karibu kwasababu ya publicity, press ikiisha yanarudishwa kabatini.
Waswahili mna gubu sana, hayo makombe yamesogezwa hapo karibu kwasababu ya publicity, press ikiisha yanarudishwa kabatini.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jul 30, 2021 #23 Chuki zitakuua umbwa wewe
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 30, 2021 #24 Simba Forever said: Muhindi mtu mbaya sana. Afadhali ya Mchina. Click to expand... Makombe yenyewe ya bati, hayo siku yoyote yanapata kutu ni valueless, thamani yake ni kama tatu mia tano, msimaindi sana mnapogegedwa kidosi
Simba Forever said: Muhindi mtu mbaya sana. Afadhali ya Mchina. Click to expand... Makombe yenyewe ya bati, hayo siku yoyote yanapata kutu ni valueless, thamani yake ni kama tatu mia tano, msimaindi sana mnapogegedwa kidosi
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 30, 2021 #25 denooJ said: Waswahili mna gubu sana, hayo makombe yamesogezwa hapo karibu kwasababu ya publicity, press ikiisha yanarudishwa kabatini. Click to expand... Kabatini nyumbani kwa mwamedi. Yanawekwa pamoja na ile khanga ya Gymkhana Club😂🤣😅
denooJ said: Waswahili mna gubu sana, hayo makombe yamesogezwa hapo karibu kwasababu ya publicity, press ikiisha yanarudishwa kabatini. Click to expand... Kabatini nyumbani kwa mwamedi. Yanawekwa pamoja na ile khanga ya Gymkhana Club😂🤣😅
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 30, 2021 #26 KAPONGO said: Jengo la Klabu limetelekezwa na kubaki makazi ya popo, mbu, na panya! Inawezekana keshainunua Simba kwa mlango wa nyuma....fikiria uwanja wa akina Kaduguda kule Bunju unaitwa Mo Arena, na timu ya wasichana inasimamiwa na nani vile? Click to expand... Na Mimi ni KAPONGO mugwata, hebu tujijadili inbobo
KAPONGO said: Jengo la Klabu limetelekezwa na kubaki makazi ya popo, mbu, na panya! Inawezekana keshainunua Simba kwa mlango wa nyuma....fikiria uwanja wa akina Kaduguda kule Bunju unaitwa Mo Arena, na timu ya wasichana inasimamiwa na nani vile? Click to expand... Na Mimi ni KAPONGO mugwata, hebu tujijadili inbobo
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jul 31, 2021 #27 Mo ndio mungu wa Mikia FC Yaani lazima wamnyenyekee hata akiweka makombe chooni kwake hawana la kufanya wala kusema Mikia ni mikia tu masikini
Mo ndio mungu wa Mikia FC Yaani lazima wamnyenyekee hata akiweka makombe chooni kwake hawana la kufanya wala kusema Mikia ni mikia tu masikini