Ni sahihi serikali kukata kodi ya sim card!

Ni sahihi serikali kukata kodi ya sim card!

Ruzibiza

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
563
Reaction score
123
Kitendo cha kukataa kukatwa kodi ya line (SIM CARD DUTY) kwa ajili ya kuendesha serikali si cha kizalendo kabisa. Kama kweli tu wazalendo na tunapenda maendeleo hatupaswi kulalamikia kodi inayolenga kutuletea maendeleo wenyewe.Tuungane kama watz katika kila jambo linalohusu nchi yetu na si tu kwa baadhi ya mambo.....

"ask not what your country can do for you--ask what you can do for your country." US Pres. JFK,1961
 
Sidhani kama kuna mtu amegoma kulipa kodi hiyo kwa sababu hawataki tuu, watu wamegoma kwa sababu 1000 kwa mwezi ni kubwa kwa kweli. Kwa mtanzania mwenye kipato cha kawaida ni ela kubwa sana kwa mwezi.
Na pili, huwezi kumwambia mtu unamkata kwa ajili ya maendeleo asiyo yaona. Mimi personaly i am not ready kulipa hiyo kodi kwa kuwa so far kodi yangu sijaona inafanyiwa nini.
Makampuni makubwa ya simu and migodi inapewa misamaha ya kodi ya mabilioni. Financial year 2009/2010 tanzania walitoa misamaha ya kodi ya around dola billioni 600. Anglogold imeanza kulipa kodi (corporate income tax) sijui mwaka juzi.
Kuna viwanda ambavyo viko chini ya EPZ na SEZ wanamisamaha ya kodi ya miaka kumi. Serious who does that!!!!...
Wangekuwa wanakusanya hizo kodi, kungekuwa na haja ya kunidai mie buku kila mwezi kweli??? Sikutakana ubaya huku?
Ripoti za IMF inasema tanzania is losing trillions every year from tax incentives and exemptions. Wanaambiwa wapunguze hawataki. Rushwa tu zinatembea. Alafu leo mie ndo niwe mzalendo, waanze wao kuwa wazalendo.
Its not about the money, its the principle...
Hela ni nayo and i can very much afford the tax, but i will protest it paka kieleweke.
Change should start with them.... Ufisadi wafanye wao, adhabu tupewe sie???!!!...
 
Cha muhimu ni kutoka watanzania wote barabarani tuandamane hadi jk aikimbie ikulu
 
Back
Top Bottom