Huyu binti aliyeko pichani ni miongoni mwa waliolamba fursa ya kufanya kazi nje ya nchi?Wakati mwingine huwa tunawalaumu Machifu Waafrika waliokuwa wanakamata Waafrika wenzao na kuwauza kama watumwa kwa Waarabu na Wazungu ila tungepata nafasi ya kuwasikiliza huenda walikuwa na sababu za msingi kufanya hivyo.
View attachment 3641123
View attachment 3641125
Labda wanaenda kupata ujuzi mpya na uzoefu, hivyo ni sawa tu, kama wameshindwa kutoa kazi ni bora wasaidia kupata kazi kwingine tuNguvu kazi haipotei??
Hata bongo utumwa upo unafanyishwa kazi siku 360 ila una lipwa siku 12 tu halafu kiduchuDunia inabadilika sana, zamani utumwa ulikuwa utumwa wa kulazimishwa kwa mijeredi, minyororo na kupandishwa kwenye meli kama mbuzi
Wakati wa sasa utumwa ni wa hiari wapo wanao vuka na majahazi au njia hatarishi kutoka Afrika, Asia na kwenda ulaya pengine wataishi vizuri
Umasikini, ukosefu wa marifa, uraibu, udhaifu unaweza sababisha utumwa wa akili na kimwili