Hivi wewe unafahamu faida ya chakula au unaandika kisa tu una bundle?Mi juzi kati hapa niliumia sana, nilienda kwenye mgahawa kununua chakula cha 3000, baada ya kufungiwa nikatoa 5000...nashangaa narudishiwa 1500...kuhoji, akasema jero ni ya kifungashio. Kidogo nirudishe chakula kwa sababu ile buku2 iliyotakiwa kubaki ilikuwa na kazi nyingine.
Nimekosea wapi hapo mkuu, hebu nielewesheHivi wewe unafahamu faida ya chakula au unaandika kisa tu una bundle?
It doesn't make sense,Vifungashio ni sehemu ya bidhaa, ni vyema kabla ya kufikiria kwenda Sokoni/dukani ukapiga mahesabu na pesa ya kifungashio kama haujabeba kutoka nyumbani au kukipakia kwenye usafiri wako kabla haujatoka
Wamiliki wa biashara wanauziwa pia vifungashio, na kitu kibaya zaidi serikali ilipiga marufuku vilee vifungashio vya bei rahisi vya sh 50 ambavyo mmiliki wa biashara angeweza kukupa bure
Sasa hivi kifungashio cha bei rahisi ni 200-300 so ukiwa na bidhaa nyingi utamgharimu mwenye biashara mpaka sh 1000-1500 na yeye azalishi hivyo vifungashio… utamtia hasara
Labda akukadilie kwa kukuongezea bidhaa zake bei juu ili ajifanye kama anakupa vifungashio bure mteja uridhike
Mkuu unafahamu kama ukinunua bando la sh 500 mtandao husika wanapata faida ya 450.. yaani wewe unakuwa unenunua bando la sh 50 , wao wakishalipa kodi wanabaki na 400…It doesn't make sense,
Kwenye mananuzi ya elfu thelathini mfano unaweza kukuta faida yako ni elfu nane sasa inakushinda nini kutoa kifungashio cha mia tano ambacho sio ajabu kwa sababu unanunua kwa jumla kitakuwa kimekugharimu mia tatu tu?!
Mi nafikiri wanunuaji twende na vifungashio. Nafanya hivi na nimekataa vifungashio vya wauzaji mara nyingi. Inaleta afya nzuri kwa mazingira, kwa muuHili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje?
Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
Hili siyo sawa kabisa hasa kwa Shoppers Plaza wana mchezo huo miaka mingi sana. Unachagua bidhaa zako kwa mujibu wa hela uliyonayo. Then ukifika kwa cash counter anaweka bidhaa kwenye mfuko ulioandikwa Shoppers Plaza.Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje?
Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
Huu ni ujinga mkubwa zaidi kuuzia watu mifuko branded ya supermarkets. Labda kwa sababu wanajua kuna watu wajinga wajinga wanafurahia kuonyesha wametoka kununua vitu shoppers.Hili siyo sawa kabisa hasa kwa Shoppers Plaza wana mchezo huo miaka mingi sana. Unachagua bidhaa zako kwa mujibu wa hela uliyonayo. Then ukifika kwa cash counter anaweka bidhaa kwenye mfuko ulioandikwa Shoppers Plaza.
Surprisingly anakuchaji na huo mfuko ambao ukishabeba tu unaanza kuwatangazia maduka yao ya Shoppers Plaza bila malipo.
Naamini tukilalamika kwa FCC wanaweza kuchukua hatua
Gentleman,Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje?
Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
Muuzaji anapaswa kuweka bajeti ya vifungashio kwa wateja wake.Vifungashio ni sehemu ya bidhaa, ni vyema kabla ya kufikiria kwenda Sokoni/dukani ukapiga mahesabu na pesa ya kifungashio kama haujabeba kutoka nyumbani au kukipakia kwenye usafiri wako kabla haujatoka