Ni sahii kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kujiuza

kujiuza ni shda tupu wenyewe hawapendi uchumi ndo unawabana
 
A stupidy question leads to a stupidy answer!!
Vipi unatafuta kibali nini?
 
hivi kweli upo sawa? mwanafunzi wa chuo ndo ana nini? kabla haujauliza hili swali bila shaka ulifikiria kwanza ukaona kuna ambao ni sahihi kujiuza! makubwa haya! akiwa mwanafunzi wa chuo ndo kusema hulka yake inapotea? watu wengine wala hawajiuzi kwakuwa wana shida ila kwasababu anapenda! ungeuliza ni sahihi kwa mtu kujiuza? ungeeleweka kidogo! kwasababu unachokiona wewe ni kibaya siyo kibaya kwa kila mtu!
 
Ni sahihi kabisa,tena ingewezekana serikali ingeleta maexpert toka brazil,france,hongkong ili kupanua hili soko,wateja wamechoka low quality na poor perfomance za hao ambao hawajapitia hicho CHUO CHA KUJIUZA,ningeomba hadi mikopo wapewe ikiambatana na special fuculty requirements ili wapate vitendea kazi na kuwapa uhodari,ningeomba nipate mmoja wa fieldl,si unajua ukiwa specialised unavyotoa quality. Product,best service


Ukija**mba

Mi nahar**sha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…