Ni sahii kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kujiuza

kujiuza ni shda tupu wenyewe hawapendi uchumi ndo unawabana

Nooo kuna mibadala mingi tu kukabiliana na ugumu wa maisha ila ukishindwa kufikiri vyema na kukurupuka ndio utachukua uamuzi huo
 
Jibu ulichoulizwa usijibu kulingana na bichwa lako linawaza nin...
 
Wala hata usijali, kwako wewe tutachukulia ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…