Ni salama zaidi Askofu Gwajima akibaki kwenye mfumo

Ni salama zaidi Askofu Gwajima akibaki kwenye mfumo

Tatizo wanaomshauri Rais ndio maadui. Kwa akili ndogo tu wakati kama huu asingekurupuka kusema aliyoyasema
 
Akiwa nje ya CCM kumfunga breki Italia mtihani
huko nje ya ccm si ndio itakuwa rahisi kumdhibiti watampa kesi ya uhaini anakaa pembeni..ww si unajua ccm hawawezi kushindana kwa hoja zaidi ya kutumia shortcut kuzima watoa hoja..
 
Hamna kitu, zama tofauti hizi, ukiharibu amani, yaani kabla hujaanza kuiharibu, hilo wazo linaanza kukuharibu wewe
 
Safari hii wameweza kugeuza upepo. Yaani mtu wa CCM ageuka ghafla namna hii bila kujali maslahi!! Tutaona huko mbele
 
Back
Top Bottom