connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
huko nje ya ccm si ndio itakuwa rahisi kumdhibiti watampa kesi ya uhaini anakaa pembeni..ww si unajua ccm hawawezi kushindana kwa hoja zaidi ya kutumia shortcut kuzima watoa hoja..Akiwa nje ya CCM kumfunga breki Italia mtihani
Kila mtu ashinde mechi zakeKumtoa Gwajima kutazidisha spana za wazi
Hamna kitu, zama tofauti hizi, ukiharibu amani, yaani kabla hujaanza kuiharibu, hilo wazo linaanza kukuharibu wewe