Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kushukuru mkuuAhsante Neema wa George
Umeongelea vitu viwili tu mbona cha tatu kinachokamilisha jina la jukwaa hujakisema? Usikariri matumiz ya jukwaa.Sasa mbona haihusiani na Mapenzi wala Mahusiano.?
Hebu njoo PM nikufundishe maana na matumizi ya majukwaa. Fanya haraka,namba ako kuiambatanisha ni muhimu
[emoji28][emoji28][emoji28]Compact mzee wa fursaSasa mbona haihusiani na Mapenzi wala Mahusiano.?
Hebu njoo PM nikufundishe maana na matumizi ya majukwaa. Fanya haraka,namba ako kuiambatanisha ni muhimu
Hata mimi ndiyo nimekukumbuka. Niko mzima. Asubuhi njemaNi mzima na namshukuru Mungu. Nimewakumbuka ndugu zangu. Nawasalimia tu , nakuwatakia usiku mwema.
Hhahahahaha! Mama Shunie,fursa naziona tu lakini hazininyookei.[emoji28][emoji28][emoji28]Compact mzee wa fursa
sitaki kuamini kama hazikunyookeiHhahahahaha! Mama Shunie,fursa naziona tu lakini hazininyookei.