Ni sauti ya mdada gani ambayo huwa anasikika kwenye wimbo wa zali la mentali wa prof jay

Alikuwa Mama Gaude kipindi hiyo bado mwali.
 
Yule ni kajala masanja alikuwa mkenwa p.Funk kipindi hicho jina la kisanii alikuwaga najita Muny
 
Sauti ya kajala masanja enzi hizo akiwa kimada wa p funk
 
Anaitwa Munira Hussein,Mwanafunzi wa Mwalimu Busyanya kwa sie tuliosoma shule ya Forodhani
Umepatia,mkuu
Forodhani ile ilikua na watoto balaa,
Jack babu,Muna,Maya ,Sharon, zainabu,asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…