Ni sauti ya mdada gani ambayo huwa anasikika kwenye wimbo wa zali la mentali wa prof jay

Ni sauti ya mdada gani ambayo huwa anasikika kwenye wimbo wa zali la mentali wa prof jay

Alikuwa Mama Gaude kipindi hiyo bado mwali.
 
Yule ni kajala masanja alikuwa mkenwa p.Funk kipindi hicho jina la kisanii alikuwaga najita Muny
 
Una ka picha kake mkuu kwa faida ya wengne tusiomjua.

IMG_8676.JPG
 
Sauti ya kajala masanja enzi hizo akiwa kimada wa p funk
 
Back
Top Bottom