Ni sawa gari ya auto kushituka fulani gia inapochange..

Wajuzvi tafadhali..
Gari yangu napokandamiza mafuta kuna mishitulo huwa siielewi ambayo huwa naisikia
Mkuu Hujui maana ya gear? Unapoambiwa ni auto haimaanishi basi haina gears....Zipo 1-5 Na huwa haishtuki mara zote ila kuna muda nadhani speed ikiwa kubwa ghafla basi gear hubadilika haraka haraka ndiyo maana muda huo kuna kimshtuko unachokisikia..Narudia kuwa huwa haishtuki mara zote ila pale speed inapopanda kwa kasi
 
Basi hapa sawa..nmekupata...mana nikiwa mdogo mdogo huwa sisikii but nikiwa nataka move fast sometimes huwa nasikia...
 
Kama ushaendesha manual ,
ATA auto nazo huwa unazckia pale unapokanyaga mafuta na Gia zna change
Manual nmendesha..nikajua huku hutakiwi kusikia chochote
 
haitakiwi kufany hivyo mkuu jarbu kuchki ata hydrolic ya gear box uwa ikichoka ndo inaletaga shda kama hzo
Hydrolic nmebadili muda si mrefu..Gari haijatembea ata km 300 hazijafika
 
Hiyo ni kawaida ukikanyaga mafuta kwa nguvu kwa ghafla gear inachange ghafla pia kwahiyo lazima mshituko fulani utokee.
 
kk kuna mmoja kaongea vzur, huwa inatokea ila ktk speed flan,
hata yang huwa inafanya hvyo, sio moja nime expirience kitu hiko,
usithubutu kupeleka kwa fund hyo gear box eti wakarekebishe hiyo kitu,
watatia ubovu.
fanya service kwa wakat,
ukiendesha endesha kwa speed ila kwa utaratibu ili gear zijipange vzur
 
Mkuu kagua
engine mount inaweza kuwa imekatika pia huwa inasababisha ugonjwa huo .
 
Nashukuru mkuu..nmejaribu kuondoka kwa mafuta taratbu haishtuki..nikiwa nakanyaga mafuta haraka haraka ndiyo hyo ishu naiona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…