Ni sawa kuacha biashara ya Bajaji, kuingia kwenye biashara ya kuuza kanga, madera na vijora minadani mikoani hasa mkoa wa mwanza?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Wakuuu naombeni ushauri,
Naona kazi ya barabarani sio nyota yangu mambo hayaendi risk haziishi
Napitia wakati Mgumu kufanya maamuzi kuacha hii biashara ya bajaji na kuanza biashara nyingine ya kuuza madela, vijora na kanga maan pia sina uhakika

Hivi ni sawa kweli niuze hii Bajaji alafu niingie minadani?

Ushauri ni muhimu... ahsante
 
Ukiwa na mtaji na Formula za minadani lazima utoboe.Bajaji ntachelewa Sana.Biashara ni mbinu na Akili tuu
 
Mimi naona ungeanza ukatengeneza Connection na pia usiwe wholesaler Ila uwe retailer.

Kwakuwa UPO DSM unaweza ukatafuta machimbo ya mzigo wa bei rahisi Sana then ukimaliza unafanya research kujua hao ma-wholesaler wanachukua mzigo kwa bei gani.
 
Endeleza iyo mkuu biashara nikutumia akili pia
Sawa mkuu tatizo la barabarani wewe unaweza kuwa na malengo ya kufanya kazi kubwa ila barabarani kukawa kugumu, ajali sana pia wanaofanikiwa kwenye Bajaj ni wachache mno tunajuana wengi wetu masikini kabisa
 
Kwanini unasema hivi umewai kuwa na experience?
Yaap Nisha Fanya na ndo Biashara ilio nitoa.
nlikuwa nauza Pochi za wanawake.Nlikuwa na Connection kariako ya kupata Mzigo.Kila Pochi nlitengeneza faida ya Tsh 3000 Kila mnada nliuza wastani wa Pochi 15 nakuendelea.
Pia nikajua minada ilio karibu na mkoa wangu na Mikubwa nje ya Mkoa hasa Dodoma.
Mikoani watu bado hawajawa wajanja na pia Maisha ya minadani ni rahisi Sana kama ukiwa mpambanaji
Kwa week nlikuwa na Minada mi nne Ambayo lazima Mzigo uwe umeisha ama umebaki kidogo.
Pia minadani Biashara unaendana na upepo sio lazima kushikilia Biashara moja
 
Minada ipi ya mwanza ulikua Unakimbiza mkuu?
 
Minada ya miaka hii imekufa mkuu kutokana na hali ya uchumi wa Tanzania

Back
Top Bottom