Ni sawa kujenga maeneo yenye makaburi?

Ni sawa kujenga maeneo yenye makaburi?

kuwa wazi unaandika kwa kificho, andika eneo ni wapi na nani anafanya hivyo
iringa mjini maeneo ya mlandege makaburini apa serikar imewahamisha wafanyabiashara wadogo2(machinga) maeneo walikokuwa wakifanya shughur zao nakuwapeleka pale makaburi ✅✅
 
Nina swali moja kama sio mawili.

Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila utaratibu wowote?
Pale ni makazi ya wafu kupaingilia kwa nia ya kubadili matumizi haifanyiki kiholela la sivyo hapatakalika
 
Ila waulize wachaga wazoefu hawa wanazika nyuma ya nyumba na wanalala usiku
 
Back
Top Bottom