mr_stev001
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 159
- 220
iringa mjini maeneo ya mlandege makaburini apa serikar imewahamisha wafanyabiashara wadogo2(machinga) maeneo walikokuwa wakifanya shughur zao nakuwapeleka pale makaburi β βkuwa wazi unaandika kwa kificho, andika eneo ni wapi na nani anafanya hivyo
Pale ni makazi ya wafu kupaingilia kwa nia ya kubadili matumizi haifanyiki kiholela la sivyo hapatakalikaNina swali moja kama sio mawili.
Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila utaratibu wowote?
ππPale ni makazi ya wafu kupaingilia kwa nia ya kubadili matumizi haifanyiki kiholela la sivyo hapatakalika
kutokewa na popo bawaShida lazima uipate...