Wanajf tujadili hili.
Kwa upande wangu mimi naona wanawake wanakuwaga sensitive sana na pesa so akijua kiasi cha mshahara wako atakuwa anafuatilia kila senti inapokwenda hata ukikutana na rafiki zako mkachoma nyama basi lazima ahoji hizo hela zimeenda wapi. So hatakiwi kujua.
Mkeo kujua kipato chako sio vibaya. Ila kibaya ni huyo mwanamke kutawala hicho kipato chako, Utashindwa hata kukaa na washikaji kunywa Castle lite.
mmh..sasa mkifichana then mtapangaje budget za nyumban,na mipango mingine ya siku za usoni ya maisha yenu...kwa ajili ya watoto n mengineo..