Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua kuchukua uamuzi huo baada kutokana na mda mwingi kuwa bize na kazi na kukosa mda wa kutosha kukaa nae. Je ni sahihi kumpeleka mtoto mdogo boarding? Au nimemnyima haki yake ya kupata malezi ya wazazi