Ni sawa kuvitaka vitu vyako ukiachana na mpenzi wako?

Ni sawa kuvitaka vitu vyako ukiachana na mpenzi wako?

Rodriquz

Member
Joined
Aug 13, 2020
Posts
37
Reaction score
139
Kiukweli toka tuwe kwenye uhusiano sikuwa naona tatizo lolote kwa sababu tuliahidiana kupendana na sivinginevyo, nayeye yote aliyonifanyia ilikuwa nikunionyesha nikiasi gan ananipenda. Baadaye tabia zake zilianza kujenga chuki taratibu kwa upande wang vile tu hakuwa akinipa uhuru wa kufanya mambo yangu binafsi ananichunga sana na mimi kama mwanaume naona hii si sawa hata kama ananipa kila kitu hata nikitaka kwenda sehemu lazima nimwambie

Jumapili iliyopita tulitoka out kidogo ya mkoa, na huko nikamwambia tuachane rasmi, nilishtuka sana alipoanza kuniambia et kama simtaki nirudishe vitu vyake alivyoninunulia hadi nguo nazovaa nihame na pale aliponipangia wakat kiukweli kod haijaisha alilipa miez 6.

Alichukia sana akaninyang'anya adi funguo ya gari. Hivi jaman ni sawa hii? Amenipa mda wakufikilia ili nimpe jibu la uamuzi wangu, nifanyaje?
 
Sasa apo ulikua unangoja uoe au uolewe? Getto huna anakulea alafu unamuacha unategemea ataachaje kuchukua vitu vyake, jipange uwe na kwako la sivyo utachungwa kama mbuzi.
 
[emoji28]
20200929_120034.jpg
 
Wewe si unataka uhuru wako? Acha kila kitu hata kama hakununua yeye, kaanze upya.
 
Wewe ni mfugo wake sasa unajiuliza nini!!! Umekubali kuishi kama mbuzi af unakaza kwato? Fata maelekezo ya boss kama huwezi rudisha mali za kampuni🤣🤣🤣
 
NI SAHIHI KABISA LAKINI MADHARA YAKE NI MAKUBWA SANA UKISHITAKIWA
 
Mweeee hivi type ya wanawake hao kumbe wapo au alikuwa jimama?
Ujue nilivyo iona hii thread kabla ya kusoma nilizani mwanamke kumbe mwanaume khaaaaaa.........😯

Unanunuliwa mpaka nguo kwa hiyo ww cha kwako ni hicho kirungu na kengere zake mbili tu basi.Huyo mwanamke ana haki ya kukupangia sababu ww mwenyewe umeshindwa kujiongeza kwa kutafuta hata hela yako binafsi au basi ungetumia ile hela aliyokuwa anakupa kuizalisha.Kwani ungekuwa unajiweka busy alafu hata hela yako ingeonekana kwa kujisaidia vitu vyako vidogo na hata kwa zawadi za kumnunulia mpenzi wako.Ungekuwa unafanya hivyo asinge kuuliza sababu anaona unajishughulisha.Type za wanaume kama nyie ndio mnafanya tutukanwe humu JF na baadhi ya wanawake.

Wewe kwa kuwa unapewa hela ukaamua kukaa na kuning'iniza Korodani kwenye boxer,wewe kazi yako kuaa sebuleni na remote ya TV.Inavyonekana hata kifurushi hulipi ulivyokua boya.

HAPO NDIO UJUE HELA YA MWANAMKE CHUNGU,UMETUZALILISHA SANA WANAUME,jishughulishe utafute kazi kwa ajili ya maisha yako acha kulilia hela ya mwanamke..........................%#$%@$@&@&%@%@ ZAKO.
 
Yaani hata mimi nilipoona hii posti nilifikiri ni mwanamke nashangaa mtu anaongea ndevu zinatingishika!
 
Inategemea ni vitu gani

Nilikuwa na mwanamke huko nyuma kuna siku alikuja ghetto akaipenda picha yangu moja ilikuwa kwenye frem ukutani,akaenda nayo ghetto kwake nilivyoachana nae nikasema hapana kwakweli nikaenda ichukua picha yangu[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]

Ms*nge wewe rudisha vitu vyake vyoteeeeee hadi boxer zake mpe katafute vyako
 
".... Men don't have price tag however some men can be bought....''
 
Back
Top Bottom