Mweeee hivi type ya wanawake hao kumbe wapo au alikuwa jimama?
Ujue nilivyo iona hii thread kabla ya kusoma nilizani mwanamke kumbe mwanaume khaaaaaa.........😯
Unanunuliwa mpaka nguo kwa hiyo ww cha kwako ni hicho kirungu na kengere zake mbili tu basi.Huyo mwanamke ana haki ya kukupangia sababu ww mwenyewe umeshindwa kujiongeza kwa kutafuta hata hela yako binafsi au basi ungetumia ile hela aliyokuwa anakupa kuizalisha.Kwani ungekuwa unajiweka busy alafu hata hela yako ingeonekana kwa kujisaidia vitu vyako vidogo na hata kwa zawadi za kumnunulia mpenzi wako.Ungekuwa unafanya hivyo asinge kuuliza sababu anaona unajishughulisha.Type za wanaume kama nyie ndio mnafanya tutukanwe humu JF na baadhi ya wanawake.
Wewe kwa kuwa unapewa hela ukaamua kukaa na kuning'iniza Korodani kwenye boxer,wewe kazi yako kuaa sebuleni na remote ya TV.Inavyonekana hata kifurushi hulipi ulivyokua boya.
HAPO NDIO UJUE HELA YA MWANAMKE CHUNGU,UMETUZALILISHA SANA WANAUME,jishughulishe utafute kazi kwa ajili ya maisha yako acha kulilia hela ya mwanamke..........................%#$%@$@&@&%@%@ ZAKO.