Ni sawa kuwaweka kuku wa 4 walioatamia sehemu mmoja?

kachwichwi

New Member
Joined
Jun 4, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Wakubwa nisaidieni Je, unaweza kuwaweka kuku wa 4 wenye vifaranga kwenye chumba kimoja na watoto wao?

Maana kuku wangu wameatamia wapo wa 4 so nataka kuwatenga na hawa wengine ambao bado hawajaanza kutaga so ni sahihi kuwaweka kwenye chumba kimoja maana chumba kipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…