Guy, hope mpo bieee,
Na ishi na mwanaume kwa nyumba tuko na kids wawili, house ni yangu includes everything,
Sasa jamaa mambo hayawezi vile anadai mimi iko taka kila siku, kaniruhusu niche puke,
Mwanzo nilidhani anatania kumbe ana maanisha
Yeye analala chumbani ingine MI nalala na kids, Basi nkatafuta kipoozeo changu. Mwanaume kayaanza huko mwisho akamleta katika biashara yangu time ambayo mimi Sipo, Narudi nakuta mchezo siuelewi wanapotezea badae nashutuka jamaa anakataa na kwanini nimeshika simu yake,
Nikamwambia marufuku kuanzia leo nikuone kwa biashara yangu, sasa nyumba ninayoishi ni yangu nawaza nikileta chepuko langu mdani
atafurukuta au atahama?
Nipo nae sababu ya watoto na sio kitu kingine