Ni sawa mke na mume ndani ya nyumba kuishi hivi?

Ingawa muandishi ni ama una asili ya asia au jirani hapo, ila nimejitahidi kukuelewa.

Ni hivi, jukumu la msingi la mwanaume ni kutafuta na kusapoti malezi ya familia kifedha zaidi....mwanamkr amejaaliwa kustawisha jamii/familia ikiwa ni pamoja na kumuongoza mwanaume kwenye jukumu zima la ustawi wa jamii.....wewe umeamua kwenda kinyume na MANUAL ya mwenye ulimwengu, umevua majukumu yako, ukavaa yasiyokuhusu.....

Rudisha majukumu hayo kwa mwenyewe, simama kwenye yako....lazima maamuzi yatafanyika mapema tu; kusuka au kunyoa.
 
Daaah aisee. Pole sana my wangu. Mungu akupiganie katika ndoa hii.
 
Story ya shilole na uchebe daah
 
Hii ni hali halisi mwanamke akikuzidi kipato. Utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…