Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Hiyo si ilikuwa tangu zamani. Wazee wanaenda kukuposea huruhusiwi kumjongea mtarajiwa! Siku ya harusi shangazi mtu akiona kile kudoa chekundu anafurahia bi harusi kuumizwa! Alafu hawa mashangazi mi wananiboa ka nini yaani wao wanajifanya ndo walomlea zaidi kuliko mama mzazi!Si kweli mkuu kuna vingine ni shake well after use.........
Kazi ipo wadada!kweli siku hizi harusi nyingi bi harusi wanakuwa na kachanga tumboni,,, wengine harusi ikiisha honeymoon ni leba!!!!
Kazi ipo wadada!kweli siku hizi harusi nyingi bi harusi wanakuwa na kachanga tumboni,,, wengine harusi ikiisha honeymoon ni leba!!!!
sipendi honeymoon labour ward.....I hate that
sipendi honeymoon labour ward.....I hate that
Kwani ni wewe! Tatizo waoaji wenyewe ndo hivyo wanataka kuhakikisha kilichomo humo. Unaweza kuta ilishaenda kwao siku nyingi!
Mangi, kinachotakiwa ni sisi wadada kuwa na msimamo,,kama mtu ataacha kuoa kisa hujakubali kuwa shaked b4,,,,afike salama.
Preta Mungu apishilie mbali,,naichukia sana pia!mtazamo wangu makanisa nayo yanahitaji kuwa strict ktk hilo
Yaani we utaona wanakupita kama daladala la bunju kwa huo msimamo. Ukijalegeza masharti saa kumi jioni.
Hahaa yaaaaaaaaani unamkabidhi faza achunguze ka hii shaked ana not shaked sio. Duuu sifa utakazomwagiwa na Rev siku hiyo we acha tu!
hahahaha!!!atanipita saa ngapi na saa hiyo anavyopropose hivyo ni last minute kashatua mabegi,,,itabidi avumilie maana kugeuka nyuma hataweza,,lol
Kuna makanisa wako vry strict ukienda kuandikisha harusi,,unapewa Rev muende hosp kufanya check up ya HIV/AIDS na pregancy.
We huwajui vijana wa cku hizi. Hawana adabu! Usishangae anabeba mpaka la kwako anaenda uza mbele kwa mbele. Zamani tulikuwa na haya kidogo. Yaani unakuta siku hizi mko chuo kidume kinadunga hata 10 na mnajuana na haoni tabu!
Hapo unabakia kukimbilia JF na bandiko NATAKA MTU WA KUZAA NAYE MTOTO NITALEA MWENYEWE! Kubali masharti haya SHAKE WELL............
Bwana harusi naye anaenda na Sr ama?