Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.
Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.
We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.