Ni sawa Watumishi kukatwa kwenye zoezi la Sensa 2022

Ni sawa Watumishi kukatwa kwenye zoezi la Sensa 2022

Hicho kitu kilichoitwa "KIBARUA" kilishafutwa siku nyingi na SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI ya TANZANIA. Inaonekana wewe ni mkongwe kwelikweli, umekariri maneno ya kigandamizaji ya kikoloni, na hujui kuwa mabadiliko ya sheria yalikwisha fanyika na hicho unachokiita kibarua ni Ajira
Haijawahi kufutwa!! Vibarua bado wapo.
 
Sawa Ila jua hata sisi watumishi hatukai na hizo hela ndani tukizipata tunazirudisha mtaani wengine wanafaidika wafanyabiashara,mafundi n.k....kama serikali wangeliona Hilo mapema Basi wasingeruhusu watumishi kutuma maombi ..suluhisho NI serikali ianzishe workshop nyingi kila kata vijana jobless wafundishwe ufundi mdogo mdogo wapige kazi...kwa mfano Mimi kukosa nafasi ya usimamizi wa maudhui naona fresh tu kwani Kuna dokeza tunaliandika hapa kazi ya site night 20 piga Mara rate mpya ya mama Samia 100000 ningekomaa ba sensa million moja ningekosa million mbili za ofisini..maana mwanzo nilijua ofisini mwaka wa fedha unapoanza hakunaga kazi...kumbe samia sio Kama magufuli pesa ipo...labda wa mind watumishi was Halmashauri ila sio wa wizara
Mie mtumishi na jina langu limetoka kwenye msimamizi wa maudhui.

Bahari njema nipo tayari kwenye mafunzo ngazi ya Mkoa, nitawafundisha hawa wa chini.
 
Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.

Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.

We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Wenye bahati zetu, majina yametoka.
 
Ndio kakatwa muhudumu wa afya analia uku balaa sambuse Mwalimu
Kila mtu anahitaji Hela! Hakuna aliyewahi kutosheka . .... Ndio sababu jero inasababisha roho ya mtu kunyofolewa kwa bisu !!!
 
Kila mtu anahitaji Hela! Hakuna aliyewahi kutosheka . .... Ndio sababu jero inasababisha roho ya mtu kunyofolewa kwa bisu !!!
Money is everything in this world
 
Wanakata majina ya watumishi??

Hawa vijana wa form 4 ni vijana wa mwendokasi, bado hawajakomaa kufanya kazi nyeti Kama hizi.

Watafeli Kama walivyofeli kwenye anwani za makazi hadi ikafikia watendaji wa vijiji wakawa ndio mawakala wa kuweka anwani za makazi
 
Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.

Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.

We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Usiseme watumishi Bali sema walimu..🤗
 
Back
Top Bottom