Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
[emoji3] Watumishi wote mkuu hadi walimu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kakatwa muhudumu wa afya analia uku balaa sambuse Mwalimu[emoji3] Watumishi wote mkuu hadi walimu ?
[emoji1787][emoji1787]Ndio kakatwa muhudumu wa afya analia uku balaa sambuse Mwalimu
Haijawahi kufutwa!! Vibarua bado wapo.Hicho kitu kilichoitwa "KIBARUA" kilishafutwa siku nyingi na SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI ya TANZANIA. Inaonekana wewe ni mkongwe kwelikweli, umekariri maneno ya kigandamizaji ya kikoloni, na hujui kuwa mabadiliko ya sheria yalikwisha fanyika na hicho unachokiita kibarua ni Ajira
Mie mtumishi na jina langu limetoka kwenye msimamizi wa maudhui.Sawa Ila jua hata sisi watumishi hatukai na hizo hela ndani tukizipata tunazirudisha mtaani wengine wanafaidika wafanyabiashara,mafundi n.k....kama serikali wangeliona Hilo mapema Basi wasingeruhusu watumishi kutuma maombi ..suluhisho NI serikali ianzishe workshop nyingi kila kata vijana jobless wafundishwe ufundi mdogo mdogo wapige kazi...kwa mfano Mimi kukosa nafasi ya usimamizi wa maudhui naona fresh tu kwani Kuna dokeza tunaliandika hapa kazi ya site night 20 piga Mara rate mpya ya mama Samia 100000 ningekomaa ba sensa million moja ningekosa million mbili za ofisini..maana mwanzo nilijua ofisini mwaka wa fedha unapoanza hakunaga kazi...kumbe samia sio Kama magufuli pesa ipo...labda wa mind watumishi was Halmashauri ila sio wa wizara
Wenye bahati zetu, majina yametoka.Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.
Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.
We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Ni kweli wasimamizi w amaudhui lazima wawe Walimu wakuu?Mie mtumishi na jina langu limetoka kwenye msimamizi wa maudhui.
Bahari njema nipo tayari kwenye mafunzo ngazi ya Mkoa, nitawafundisha hawa wa chini.
Hakuna kitu kinachoitwa kibarua kwa sheria ya saaaHaijawahi kufutwa!! Vibarua bado wapo.
Kila mtu anahitaji Hela! Hakuna aliyewahi kutosheka . .... Ndio sababu jero inasababisha roho ya mtu kunyofolewa kwa bisu !!!Ndio kakatwa muhudumu wa afya analia uku balaa sambuse Mwalimu
Siku 21 mnasomea Nini???Sina huwakika ila sensa ni siku moja but mafunzo siku 21 kwaio kipind Cha mafunzo pia hulipwa
Wao sio MimiSiku 21 mnasomea Nini???
Money is everything in this worldKila mtu anahitaji Hela! Hakuna aliyewahi kutosheka . .... Ndio sababu jero inasababisha roho ya mtu kunyofolewa kwa bisu !!!
Usiseme watumishi Bali sema walimu..🤗Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.
Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.
We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Mimi sio mwalimu.Ni kweli wasimamizi w amaudhui lazima wawe Walimu wakuu?
Imerekebishwa lini?Hakuna kitu kinachoitwa kibarua kwa sheria ya saaa
Nauko kwenu wapoUsiseme watumishi Bali sema walimu..[emoji847]