Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kibarua mkuuHiyo ni ajira au kibarua?
Hivi malipo ni kiasi Gani kwa siku, na ni kazi ya siku ngapi MkuuMimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.
Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.
We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Sina huwakika ila sensa ni siku moja but mafunzo siku 21 kwaio kipind Cha mafunzo pia hulipwaHB
Hivi malipo ni kiasi Gani kwa siku, na ni kazi ya siku ngapi Mkuu
Hicho kitu kilichoitwa "KIBARUA" kilishafutwa siku nyingi na SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI ya TANZANIA. Inaonekana wewe ni mkongwe kwelikweli, umekariri maneno ya kigandamizaji ya kikoloni, na hujui kuwa mabadiliko ya sheria yalikwisha fanyika na hicho unachokiita kibarua ni AjiraHiyo ni ajira au kibarua?
Usiniletee makasiliko yako ww Kama umekosa vizia semina au kazi za fieldWewe unanufaika kwa lipi hapo..roho mbaya tu
Yaani million unaona NI hela ya mtaji haitawaishia njiani...usijidanganye hio NI pesa ndogo Sana asilimia tano TU ya watu ndo watafanya vya muhimu...NI hela ya kusukuma sikuMimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.
Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.
We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Kwa wachache ambao wanatamaa watatumia vibaya ila kwa wale wenye akili timamu watatumia goodYaani million unaona NI hela ya mtaji haitawaishia njiani...usijidanganye hio NI pesa ndogo Sana asilimia tano TU ya watu ndo watafanya vya muhimu...NI hela ya kusukuma siku
Wengi wenu mtaishia tu kununua smart phone za gharama! Mtaenda kufanyia starehe! Baada ya hapo mtarudi nyumbani kuendelea kuwapiga mizinga wazazi wenu, na pia kula na kulala bure.Kwa wachache ambao wanatamaa watatumia vibaya ila kwa wale wenye akili timamu watatumia good
Sawa Ila jua hata sisi watumishi hatukai na hizo hela ndani tukizipata tunazirudisha mtaani wengine wanafaidika wafanyabiashara,mafundi n.k....kama serikali wangeliona Hilo mapema Basi wasingeruhusu watumishi kutuma maombi ..suluhisho NI serikali ianzishe workshop nyingi kila kata vijana jobless wafundishwe ufundi mdogo mdogo wapige kazi...kwa mfano Mimi kukosa nafasi ya usimamizi wa maudhui naona fresh tu kwani Kuna dokeza tunaliandika hapa kazi ya site night 20 piga Mara rate mpya ya mama Samia 100000 ningekomaa ba sensa million moja ningekosa million mbili za ofisini..maana mwanzo nilijua ofisini mwaka wa fedha unapoanza hakunaga kazi...kumbe samia sio Kama magufuli pesa ipo...labda wa mind watumishi was Halmashauri ila sio wa wizaraKwa wachache ambao wanatamaa watatumia vibaya ila kwa wale wenye akili timamu watatumia good
Mlivyo mm sio kijana mzeeWengi wenu mtaishia tu kununua smart phone za gharama, na kwenda kufanyia starehe. Baada ya hapo mtarudi kwa wazazi kuendelea kuwapiga mizinga, na pia kula na kulala bure.
Ndiyo vijana wa siku hizi mlivyo.
Makasiliko×=Makasiriko✓Usiniletee makasiliko yako ww Kama umekosa vizia semina au kazi za field
Ukishajua ilo huna haja ya kuangaika broSawa Ila jua hata sisi watumishi hatukai na hizo hela ndani tukizipata tunazirudisha mtaani wengine wanafaidika wafanyabiashara,mafundi n.k....kama serikali wangeliona Hilo mapema Basi wasingeruhusu watumishi kutuma maombi ..suluhisho NI serikali ianzishe workshop nyingi kila kata vijana jobless wafundishwe ufundi mdogo mdogo wapige kazi...kwa mfano Mimi kukosa nafasi ya usimamizi wa maudhui naona fresh tu kwani Kuna dokeza tunaliandika hapa kazi ya site night 20 piga Mara rate mpya ya mama Samia 100000 ningekomaa ba sensa million moja ningekosa million mbili za ofisini..maana mwanzo nilijua ofisini mwaka wa fedha unapoanza hakunaga kazi...kumbe samia sio Kama magufuli pesa ipo...labda wa mind watumishi was Halmashauri ila sio wa wizara
Nitakuajili uwe Mwalimu wangu was kiswahiliMakasiliko×=Makasiriko✓
Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao.
Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali.
We umeajiriwa una uhakika wa hela kila mwisho wa mwezi na haka kakazi ka sikumbili Tena unakitaka, mimi nasema good job.
Wala sijaomba mm pulkushani siziwez nitakuja piga Toto la mtuKaka ww umeshajihakikishia kwamba umepata hiyo kazi? Isije kua unafurahia hlf ukakosa
Hela zinanoga weweUkishajua ilo huna haja ya kuangaika bro
Zikikujalia lete nikutunzie au unasemaje?Hela zinanoga wewe