Ni scrub gani nzuri?

Ni scrub gani nzuri?

GODWN

Member
Joined
Nov 2, 2016
Posts
34
Reaction score
19
Wakuu habari!

Naomba kuulza hiv ni aina gani ya scrub ya asili ambayo ni nzur zaidi kwa afya ya ngozi..
 
Wakuu habari!

Naomba kuulza hiv ni aina gani ya scrub ya asili ambayo ni nzur zaidi kwa afya ya ngozi..

habari,
jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi,mapele na hata magonjwa ya ngozi ya muda mrefu,husaidia kuiacha ngozi katika hali ya ukavu unaopendeza na kuondoa mafuta mengi usoni.
nauza sabuni moja kwa elfu 2 tu na pia kwa wale wa jumla nauza kwa box moja shilingi elfu 60. tunapatikana dar es salaam ilala pia tunafanya delivery ndani na nje ya dar es salaam karibuni sana
0659756647
IMG_1362.JPG
 
Wakuu habari!

Naomba kuulza hiv ni aina gani ya scrub ya asili ambayo ni nzur zaidi kwa afya ya ngozi..
Scrub yenye mchangnyiko wa coffee+ brown/white sugar+ coconut oil= flawless skin
 
Inategemea sana na aina ya ngozi yako na mahitaji yako.

Zipo nzuri nyingi lakini kina ya oats pamoja na mafuta ya Nazi hii hufanya ngozi kuwa mororo sana pia inafubasha mabaka
 
ntajie moja au mbili hivi mum
Scrub yenye coffee+sukari+unga wa kungumanga+unga wa mdalasini+olive/coconut oil=nzuri Sana kwa ngozi

Matcha powder+epsom/dead sea salt+mdalasini =nayo ni nzuri mno

Kuna scrub ya oats..nutmeg.. coffee ukifika dukani taja hizo utapata ni nzuri mno dhidi ya tatizo lolote la ngozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom