[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikiwa JF sipendi majaribu kabisaa na watu wanaonisakama sakama everyday
Tena wakome.Nikiwa JF sipendi majaribu kabisaa na watu wanaonisakama sakama everyday
aaah yaani hadi kero mkuuTena wakome.
Yeah, yaani unakuta mada imetolewa badala ya kujikita kwenye mada anaanza kuniandama mimi...daaahkwa kweli wakuache
Pole mkuu,wazowee tu.aaah yaani hadi kero mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeah, yaani unakuta mada imetolewa badala ya kujikita kwenye mada anaanza kuniandama mimi...daaah
Hahaha eti kipaji...sawa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawajui wewe ni kipaji pekee
aseeh shwariPole mkuu,wazowee tu.