Ni sehem gani ambazo ukiwa huwa hupendi majaribu?

Ni sehem gani ambazo ukiwa huwa hupendi majaribu?

Wasalaam wana chit chat
hebu twende kwenye mada yenyewe je ni sehem gani ambayo ukiwa hua hupendi upuuzi a.k.a majaribu.
Mm binafsi ni chooni.siku moja nikiwa chooni nikasikia mlango ukigongwa nikaguna mmmmmmmmh..!! Mtu akauliza kuna mtu? nikajibu hakuna mtu unaongea na kinyesi..
Hebu twambie ukiwa sehem gan na ww hua hupend majaribu ya kijinga jinga.
Wanaume,,,!! Nikiwa safarini Sipendagi kabisa majaribu... Kuna wakaka wafaransa fulani nilisafiri nao khah.. Nilikula mpaka aibu... Sipendi majaribu jamani

Cc Smart911
 
Tihitihitihtihihihiiii love Nikiwa kwenye ovulation sipendi kabisa majaribu [emoji126] [emoji125] [emoji8]
mahondaw wangu... [emoji85] [emoji87] na ndiyo kipindi unapoongezeka utamu mara dufu... Joto juu, hisia juu, utamu juu... Hahaha...
 
Back
Top Bottom