Wanakuandama mnoo broooNikiwa JF sipendi majaribu kabisaa na watu wanaonisakama sakama everyday
Wanaume,,,!! Nikiwa safarini Sipendagi kabisa majaribu... Kuna wakaka wafaransa fulani nilisafiri nao khah.. Nilikula mpaka aibu... Sipendi majaribu jamaniWasalaam wana chit chat
hebu twende kwenye mada yenyewe je ni sehem gani ambayo ukiwa hua hupendi upuuzi a.k.a majaribu.
Mm binafsi ni chooni.siku moja nikiwa chooni nikasikia mlango ukigongwa nikaguna mmmmmmmmh..!! Mtu akauliza kuna mtu? nikajibu hakuna mtu unaongea na kinyesi..
Hebu twambie ukiwa sehem gan na ww hua hupend majaribu ya kijinga jinga.
Acha tu my lovely sister! ni shiiiiidaWanakuandama mnoo brooo
Usijali utazoea tuuu mm penda sana we we kaka yanguuu,Acha tu my lovely sister! ni shiiiiida
[emoji173] [emoji173] [emoji172] [emoji172] [emoji171] [emoji171] [emoji170] [emoji170] [emoji169] [emoji169]Usijali utazoea tuuu mm penda sana we we kaka yanguuu,
Ndio hivyo mwanaSafi sana mkuu, naona umeamua kuweka wazi unavyojisikia