NI sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?

NI sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?

The Box

Member
Joined
Jun 6, 2021
Posts
43
Reaction score
135
Wakuu.

Nitakuwa Dodoma Kesho.

Napenda kuogelea. Ni sehemu gani Dodoma kuna swimming pool za wakubwa?
 
Alafu huyo Hana hela wenye hela wote wanajua kitu inaitwa my booking.com, royal village kwenyewe Kuna swimming ya kishua sana
Aseeh kumbe wana subsidiary nyingn huko najua hii ya magomeni mkuu...

Labda hajui Expedia, Tripadvisor akiingia na hiyo anakuta anachotaka
 
Ila swimming pool uwe nayo home tu kama una uwezo.
Hizi za kukaa watu,wanajamba,wanakojoa n.k humo humo ,hapana aisee
 
Back
Top Bottom