Okay Hongera kwa kuchukua tafadhali katika biashara unayotaka kuifanya!
Tukianza na sehemu inayolipa zaidi biashara ya Bodaboda! Hii inategemea na mahali ambapo wewe upo! Ila kwa dar es salaam! Maeneo Kama posta kariakoo sinza na maeneo ya Mlimani city pamoja na muhimbili, Ni maeneo ya harakati nyingi Sana!
Hivyo mzunguko wa fedhwa ni Mkubwa mno!
Kuhusu biashara ya mkataba wengi wao hurejesha elfu kumi kwa siku.
Kuhusu kuibiwa!
Wizi upo Duniani kote! Hata Madina na Jerusalem, kinachoitajika ni umakini binafsi na kuacha taama za kazi hasa wakati wa usiku.
Pendekezo kwenye suala la wizi.. Jitahidi kuifunga pikipiki yako GPC ambayo itakuwezesha kujua chombo Chako kipo wapi...
Mwisho!! Kutokana na maendeleo ya sayansi na Tekinolojia nakushauri ujisajili kwenye mfumo wa usafiri mtandaoni (Bolt) wateja mpaka utawakimbia...
Niite kijana mpambanaji [emoji120]