Ni sehemu gani maeneo ya kijijini ndani ya Tanzania uliyowahi kufika ukayafurahia maisha ya hapo?

Wewe bado hujatembea Tanzania umetaja sehemu ambazo ni ukanda mmoja tu ambako naamini 98% ya wanajamvi tunakujua.

Kwa taarifa yako Kondoa hamna sehemu nzuri kama Haubi kisha Mnenia!
Huko Mnenia na haubi pakame sana vumbi linatimka sana kipindi kama hichi cha kiangazi
Bk pako poa sana hasa ile bukulu B kama unaelekea masawi Baridi masaa yote kama upo urusi kwa bondeni kuna pori tengefu Nasikia lile pori ndy chanzo cha maji kijiji cha itololo na kandaga
tumekula sana digidigi,sungura, swala nk
 
Nimesikia sifa nyingi za haubi, natamani sana kufika huko, mnenia nimefika pia ni pazuri kwa wastani.

Leta uzoefu wako katika vijiji ulivyowahi kufika na kukakuvutia.
Kule pakawaida sana kote bumbuta,bambare,potea,pahi,kiteo,kisese
Sema tu haubi kuna majengo ya kale ya kanisa Na ziwa haubi samaki wa kumwaga
 
Vijiji vyote vya lushoto viko hot...bumbuli,mtae,yoghoi.ule mji tungekuwa na viongozi sio wabinafsi ungekaliwa na wageni tu na tungeingiza pesa nyingi kuendesha mambo yetu.

Kifupi jiografia yake inarusu vurugu zote za wazungu kufanyika kule milimani.
 
Hakuna ubishi katika hilo, sijawahi kufika lakini sifa zake nmezisikia sana huko Lushoto natamani nifike siku moja.
 
Vijiji vyote vya lushoto viko hot...bumbuli,mtae,yoghoi.ule mji tungekuwa na viongozi sio wabinafsi ungekaliwa na wageni tu na tungeingiza pesa nyingi kuendesha mambo yetu.

Kifupi jiografia yake inarusu vurugu zote za wazungu kufanyika kule milimani.
My home town [emoji1545]
 
Wewe bado hujatembea Tanzania umetaja sehemu ambazo ni ukanda mmoja tu ambako naamini 98% ya wanajamvi tunakujua.

Kwa taarifa yako Kondoa hamna sehemu nzuri kama Haubi kisha Mnenia!
 
1.Kyabakari-Mara
2.Mto wa mbu-Arusha
3.Kiwira-Mbeya
4.Marangu-kilimanjaro
5.Machame-Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom