Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh kweli?Tandika Sokoni
Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.
Naomba msaada UBUNGO riverside,mbagala rangi 3, kijicho, kariakoo, gongo la mboto asante
Makumbusho, Kijitonyama na Sinza...hizi ndizo sehemu HOT kwa biashara hapa Dar.Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.
Naomba msaada wenu
Mbezi mwisho, mbezi Magufuli.Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.
Naomba msaada wenu
TandaleHabarini ndugu,