Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,

2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,

3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,

4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.

Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
 
Mkuu Shikamoo kwani Umebobea sana.
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
'Birds of the same feather flock together..'

Anyway, shughulika na ufunguo wa mlango tu, maana ni rahisi kuuficha, na bila huo hatoweza kusepa na mkwanja wako..
 
Back
Top Bottom