Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Pasua mto unaoulalia weka katikati kabisa kisha rudishia folonya ya mto huo. Hapa chukua room mapema na uwe umeshaanda mazingira hayo. Kingine toa pesa na vitu vyote vya thamani kwenye pochi vifunge kwenye ncha ya neti pochi iache mezani utakua umemuingiza mkenge.ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.