Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.

Pochi na vitu vya thamani unaviacha Kaunta..Ova.
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
kwenye pochi yake 😁 😁 ...... au mpe akushikie lakini pia anza kuwalipa kwa kutumia mitandao ya simu itakufanya usitembeena cash
 
Usihangaike na vitu vyako.

Cheza na ufunguo tu.

Hakikisha kuwa hajuani na watu wa guest husika. Mkiingia tu, funga mlango. Funguo usichomoe.

Taa pia usizime. Kula mzigo, wana tabia ya kujidai kuwahi kulala ili nawe ulale.

Jifanye unaenda kuzima taa kule ukutani hata kama ipo karibu na kitanda.

Ukizima taa, chomoa na ufunguo.

Kuwa makini, hajalala bali anakuchora tu.

Jifanye kushika shika mto ili ajue unauchomeka kwenye mto. Alafu nenda chooni au bafuni. Weka tu pembeni ya kidirisha cha chooni.

Nenda kalale! Atakuamsha usiku mwenyewe kuwa anataka kuondoka!.

Au chomeka ufunguo kwenye kipakiti cha kondom, tupia uvunguni.

UZINZI HAULIPI. ACHANA NA MAGUMEGUME.
Huyu mwamba apewe ulinzi, huku kikao cha dharura kikiitishwa rasmi Kwa ajili ya kumjengea sanamu yake pale Kimboka by Night
 
Unamwita mhudumu anawafungia ndani ..mkitaka kutoka unampigia simu anakuja kuwafungulia mlango
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Angaliazo: usinyonye chuchu utasinzia mpaka kesho jioni kisha atabeba kila kitu.
 
1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,

2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,

3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,

4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.

Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
Waleti inawekwa kwenye godoro chini akiitoa lazima akuamshe kwa kuinua godoro
 
Kwenye suruali sehemu ya kuwekea mkanda chukua kiwembe chana space ndogo ya kupitishia pesa kisha rudishia belt yako hapo utakua umemaliza.
 
ANGALIZO

Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Hii ban itakuwa inakuchoma moyo,,safi sana mods
 
Ukishafunga mlango na ufunguo
Chukua ufunguo halafu nyenyua mguu mmoja wa kitanda uweke huo ufunguo chini ya mguu wa kitanda
Note sio uvunguni ni chini ya mguu wa kitanda
 
Izungushie nailoni nenda chooni funua lile dude linalohifadhi maji ya kuflashia tumbukiza humo. Hilo ni eneo salama hata kutunzia bastola kisu na.silaha nyingine kwa anili ya dharula.
Naomba nipite hivi
Duuuuh ngumu kumeza.
 
Nzuri, Alhamdulillah namshukuru mwenye-ez-Mungu. Wajua nini mkuu, napenda sana siku moja nikutane na wewe kama hutajali, hakika wewe ndie mtu ninaevutiwa nae zaidi humu Jf.
Mungu akijaalia tutaonana 🙏

Asante sana kwa kunikubali
 
Back
Top Bottom