GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
We ndo Babu ..unayelinda watu wakichakatana (Gegedana) .....???ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Huku 'Malaya' wengi wameshakushtukia Mkuu. Nitajie Kwingineko tafadhali.Soksi
Ficha kwenye pochi yake.ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Bahati mbaya akiondoka nayo Uskku wa manane ukiwa Umelala Usingizi wa Fofofo ( wa Pono ) je, itakuwaje Mkuu?ficha kwenye pochi yake.
Mkuu Shikamoo kwani Umebobea sana.1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,
2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,
3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,
4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.
Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.π€£π€£
Wana tabia ya Kukagua na Kukuibia pia.Kaunta
Hii kali ππficha kwenye pochi yake.
Kuna Watu mna 'mzoefu' mkubwa zaidi.Izungushie nailoni nenda chooni funua lile dude linalohifadhi maji ya kuflashia tumbukiza humo. Hilo ni eneo salama hata kutunzia bastola kisu na.silaha nyingine kwa anili ya dharula.
Naomba nipite hivi
'Birds of the same feather flock together..'ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Hiyo post imenifanya 'nicheke' sana leo.Hii kali ππ