Ukichagua mji A inamaana utaingia gharama za kusafirisha wazazi na ndugu wa karibu, jambo jingine hapo haileti heshima kwa familia ya mume kufuata tukio.kwa maoni yangu sehemu sahihi ni pale ulipo yaani kwenye tukio lilipo kukuta au kwa niaba uangalie wapi una wenyeji wengi
Busara Tu Kulingana Na Mambo Kadhaa Wa KadhaaHapo Ni uamuzi wako wa BUSARA ndio inabidi uuchukue!
Gharama haziepukiki ukiona ghali sana funga ndoa mambo ya harusi waachie wenye pesa za sherehe.Vipi kuhusiana na gharama mkuu, huoni hapo zitakuwa mara mbili??